Anko Seth
Member
- Jan 25, 2013
- 21
- 6
Prof. M.Wambari, Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ambaye amekuwa akitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya sheria tanzania kwa muda mrefu, ni masikitiko makubwa sana kwamba hayuko hai tena. Prof. ametutoka leo 4.04.2013 Baada ya kuwa mgonjwa. Watanzania tumesikitika sana na tumempoteza mtu mhimu sana katika maendeleo ya sheria za katiba, na hata maendeleo ya sheria kwa ujumla nchini kwetu. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. AMINA.