Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kiukweli shujaa wetu hali ni tete , kwa kipindi kirefu tangu kuanza msimu huu amekuwa ni wa kusugua benchi tu !
Hata leo kwenye mechi ya ligi ya Uropa anaendelea kuchoma mahindi , kisa ni nini jamani , au ndiyo yale ya ugumba wa ng'ombe wa masikini ?