Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama kawaida yako. Maono hasi. Labda tungemuachia Lowasa achezee Genk basi.Kiukweli shujaa wetu hali ni tete , kwa kipindi kirefu tangu kuanza msimu huu amekuwa ni wa kusugua benchi tu !
Hata leo kwenye mechi ya ligi ya Uropa anaendelea kuchoma mahindi , kisa ni nini jamani , au ndiyo yale ya ugumba wa ng'ombe wa masikini ?
vipi wewe umeshacheza ligi gani ya maana?Kiukweli shujaa wetu hali ni tete , kwa kipindi kirefu tangu kuanza msimu huu amekuwa ni wa kusugua benchi tu !
Hata leo kwenye mechi ya ligi ya Uropa anaendelea kuchoma mahindi , kisa ni nini jamani , au ndiyo yale ya ugumba wa ng'ombe wa masikini ?
halafu sasa mimate, na domo kunuka juuKwani gemu imeisha? Mimate ya nini?
vijitu vya namna ya huyo jamaa huwa haviendelei... halafu huwa vina kutu moyoni hadi vinaumwa umwa, mikasa kibao na mikosi yotenilijua wewe upo negative kwa magufuli tu kumbe mind set yako ni negative hata huku kwenye sport kwelii,hembu badilika kidogo ndugu,mechi iliyopita samatta alicheza sasa kuchomeshwa mahindi huko vipi??leo tena amecheza au mwenzetu hufuatiliii kazi yako kupayuka tuu
Ni kweli mkuu. Mechi iliyopita ya ligi aliingia akatoa assist wakasawazisha. Pia Clouds FM jana walirusha hewani mazungumzo yake na Shafii jamaa hakusikia ndugu yetu alichosema?Ikiwa mchezaji kama Wayne Rooney, anawekwa benchi iwe timu yake ya ManUTD au Timu ya Taifa lake (England) mpaka aingie kipindi cha pili kutokana na sababu mbalimbali ambazo Kocha anaziona ni chanya kwa mchezo unaopigwa iwe formation au combination n.k.
Pia kocha labda anataka mchezaji apumzike kabisa ili acheze mchezo unaofuta tunaanza kumbeza Mbwana Samatta bila kuelewa sababu za kimkakati za timu ya KRC Genk tunakuwa hatujamfanyia haki mtanzania mwenzetu.
Mchezaji wetu Samatta anaheshimika sana mpaka wanawaza kumuweka ktk EA Sports video Games siyo mchezo hii inaonesha ni mchezaji mzuri mwenye jina ktk Ubelgiji na Europa pia hivyo tuwe watulivu na kumsapoti.
Mimi nilianza kuipinga ccm kabla Magufuli hajawa mbunge , naikataa ccm na nitahakikisha inaondoka , sina ugomvi na individuals , Halafu next time usichomeke siasa kwenye mambo ya michezo utasababisha maafa .nilijua wewe upo negative kwa magufuli tu kumbe mind set yako ni negative hata huku kwenye sport kwelii,hembu badilika kidogo ndugu,mechi iliyopita samatta alicheza sasa kuchomeshwa mahindi huko vipi??leo tena amecheza au mwenzetu hufuatiliii kazi yako kupayuka tuu
Angalau wewe pekee umetoa ufafanuzi wa kuridhisha .kaingia dk 56...sio tangu msimu uanze bali tangia mbabe wake Kalelis arudi toka katika majeraha jamaa akawa anatupia tu mfululizo
Unaifahamu maana ya kuchoma mahindi ?Kwani gemu imeisha? Mimate ya nini?
wewe ni mpuuziiiii endelea na upuuzi wako hivohivoMimi nilianza kuipinga ccm kabla Magufuli hajawa mbunge , naikataa ccm na nitahakikisha inaondoka , sina ugomvi na individuals , Halafu next time usichomeke siasa kwenye mambo ya michezo utasababisha maafa .
wewe mind set yako ni negative hutakaaa ueleweshwe ukaelewa.....kwahiyo rooney akianzia nje sio mchezaji mzuri,messi siku akianzia nje sio mchezaji mzuri wewe una degree ya upuuzi kichwaniJamani eee ! Limeulizwa swali kilichotakiwa ni majibu na siyo matusi , kuna jambo moja mnalotakiwa kulijua , MCHEZAJI MZURI HAAANZII KWENYE BENCHI , SIKU ZOTE HUWA NDANI YA KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 WANAOANZA , huu ndio ukweli ambao umefichwa makusudi kwa uzalendo feki .
Kubishana na mtu wa aina yako ni sawa na kupoteza muda tu , Hivi Wayne angekuwa na kiwango kile kile angewekwa benchi ?we
wewe mind set yako ni negative hutakaaa ueleweshwe ukaelewa.....kwahiyo rooney akianzia nje sio mchezaji mzuri,messi siku akianzia nje sio mchezaji mzuri wewe una degree ya upuuzi kichwani
Umeongea ukweliJamani eee ! Limeulizwa swali kilichotakiwa ni majibu na siyo matusi , kuna jambo moja mnalotakiwa kulijua , MCHEZAJI MZURI HAAANZII KWENYE BENCHI , SIKU ZOTE HUWA NDANI YA KIKOSI CHA WACHEZAJI 11 WANAOANZA , huu ndio ukweli ambao umefichwa makusudi kwa uzalendo feki .