Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,273 Oct 27, 2007 #1 Ndugu wana JF, ni weekend iliyozingirwa na masikitiko hapa na pale. Hata hivyo matumaini yapo na nawatakia weekend njema wote. [media]http://www.youtube.com/watch?v=3QJse82M6BM[/media] Tafadhali bonyeza picha kuangalia video. SteveD.
Ndugu wana JF, ni weekend iliyozingirwa na masikitiko hapa na pale. Hata hivyo matumaini yapo na nawatakia weekend njema wote. [media]http://www.youtube.com/watch?v=3QJse82M6BM[/media] Tafadhali bonyeza picha kuangalia video. SteveD.
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,273 Oct 27, 2007 Thread starter #2 Pia kuna mwimbo mwingine huu hapa. [media]http://www.youtube.com/watch?v=q_R_xsAZPFc[/media] SteveD.
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Oct 27, 2007 #3 SteveD said: Pia kuna mwimbo mwingine huu hapa. SteveD. Click to expand... Safi sana SteveD, Nimefurahi kwa kufikisha 'ujumbe wa meseji' huu. Walau umeonesha kuwa videos zinaweza kuwekwa JF kirahisi. Nice w/end baba
SteveD said: Pia kuna mwimbo mwingine huu hapa. SteveD. Click to expand... Safi sana SteveD, Nimefurahi kwa kufikisha 'ujumbe wa meseji' huu. Walau umeonesha kuwa videos zinaweza kuwekwa JF kirahisi. Nice w/end baba
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,273 Oct 27, 2007 Thread starter #4 Invisible said: Safi sana SteveD, Nimefurahi kwa kufikisha 'ujumbe wa meseji' huu. Walau umeonesha kuwa videos zinaweza kuwekwa JF kirahisi. Nice w/end baba Click to expand... Invisible, Ahsante kwa hilo. Kuhusu video ambayo haina 'ujumbe wa meseji' sikuweza kuipata, nilijitahidi kutafuta kotekote lakini wapi...niliyoipata ni hiyo hiyo. Nadhani tuko kwenye anga moja tunaloongelea hapa. SteveD.
Invisible said: Safi sana SteveD, Nimefurahi kwa kufikisha 'ujumbe wa meseji' huu. Walau umeonesha kuwa videos zinaweza kuwekwa JF kirahisi. Nice w/end baba Click to expand... Invisible, Ahsante kwa hilo. Kuhusu video ambayo haina 'ujumbe wa meseji' sikuweza kuipata, nilijitahidi kutafuta kotekote lakini wapi...niliyoipata ni hiyo hiyo. Nadhani tuko kwenye anga moja tunaloongelea hapa. SteveD.