RESOLVED Masinki ya Vyoo katika Jengo la RITA TOWER - Dar yameboreshwa na maji yanatoka

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Tunashukuru kwa kulipazia sauti suala la Jengo la RITA Tower lililopo hapa Dar es Salaam, ambalo lilikuwa na changamoto ya sinki za kunawia kwenye vyoo kung'olewa na kutopatikana kwa huduma hiyo, hususani katika zaidi ya floor 15 kati ya 26 za jengo hilo.

Hatimaye, baada ya suala hilo kuibuliwa, huduma za sinki na mabomba yake zimerejeshwa katika baadhi ya floor, na kwa kiasi kikubwa huduma hiyo imerejea kuanzia Jumatano, 30/09/2026 na wanaendelea na maboresho.

Tunashukuru kwa hatua hiyo na tunaendelea kuamini kuwa huduma hizo zitaendelea kuboreshwa katika floor ambazo bado zina changamoto.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

​

Hoja ya awali ~ Baadhi ya vyoo Jengo la RITA TOWER - Dar sink zimeharibika na hazirekebishwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…