Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
MASJID NUR LEO SIKU YA MWISHO MWAKA WA 2023
Picha hii nimepiga muda huo unaoonekana katika hiyo saa ya ukutani iliyopo kibla.
Ukitazama tarehe tayari inaonyesha mwaka mpya 2024 ushaingia lau kama saa sita ya usiku bado.
Unajua kwa nini?