Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Tupe ilmu.MASJID NUR LEO SIKU YA MWISHO MWAKA WA 2023
Picha hii nimepiga muda huo unaoonekana katika hiyo saa ya ukutani iliyopo kibla.
Ukitazama tarehe tayari inaonyesha mwaka mpya 2024 ushaingia lau kama saa sita ya usiku bado.
Unajua kwa nini?
Dr.Tupe ilmu.
Kwa maana hiyo baada sala ya inshar ni siku mpya?Dr.
Kwa Waislam jua likichwa ndiyo siku mpya imeingia.
Dr.Kwa maana hiyo baada sala ya inshar ni siku mpya?
Naam....nadhani hata mayahudi wa kale(siyo hawa akina Netanyahu) walihesabu siku mpya mara baada ya jua kuzama na ndiyo sabato ilianza baada ya jua kuzama Ijumaa na kuisha jua kuzama Jmosi...Dr.
Kwa Waislam jua likichwa ndiyo siku mpya imeingia.