Wapiga dili wamejazana huko wanatafuna hela za mzee Bakhresa kama hawana akili nzuri.
We blaza nilikumisi niaje...Walijiita majina kibao Mara wanamapinduzi ya soka,sijui ooh wao Levo yao ni tp mazembe Na alahly,walipochukua kikombe cha ligi kuu ndo matusi yakazidi nikamsikia kiongozi wao akidai watachukua ubingwa Wa ligi kuu miaka nane mfurulizo kwamba timu zingine ni za vichochoroni......haya sasa mmchukua nafasi ya simba kuwa "wamchangani" Na hats levo za kimataifa mechi ya kwanza tu nje
Azam imeathiriwa na ugonjwa wa usimba na uyanga. Haiwezi tena,labda viongozi watoke nje ya Nchi.
Walijiita majina kibao Mara wanamapinduzi ya soka,sijui ooh wao Levo yao ni tp mazembe Na alahly,walipochukua kikombe cha ligi kuu ndo matusi yakazidi nikamsikia kiongozi wao akidai watachukua ubingwa Wa ligi kuu miaka nane mfurulizo kwamba timu zingine ni za vichochoroni......haya sasa mmchukua nafasi ya simba kuwa "wamchangani" Na hats levo za kimataifa mechi ya kwanza tu nje
Azam wanamalengo gani,Azam inaendeshwa na ss bakressa, zaidi ya hapo Azam haina kipato nduguBora Azam wana malengo ila si Simba wala Yanga......toka uhuru kuna kijitimu kinajiita cha kimataifa. Cha kushangaza hakuna cha maana wanachokifanya, ni kusindikiza tu kila mwaka. This is what you call 'PATHETIC.'
Azam wanamalengo gani,Azam inaendeshwa na ss bakressa, zaidi ya hapo Azam haina kipato ndugu