.
Hizo ndio zinaitwa connection, pale mlimani kwani alijua mkulu atatinga magogoni?. They were friends, mbona kijana ni mtu wa watu kama aliyo babaye?.
Connections ni kuona mbali, kwa kupanga malengo na kujadili utekelezaji, kwa Benno hapo UV-CCM ni njia tuu ya kufikia kule anakotaka kwenda.
Nchi huwa zinaendeshwa na mastrategist wa aina hii. JK alipopigwa paranja 2005 na Ben kuibuka, alicry foul, badala ya kulia lia, akaweka aliance na EL na kofocus 2005, na kila alionyesha kuwa tishio, kilimkuta cha kumkuta kwa kutumia kila silaha including photo shop. Hatimaye ametinga magogoni. Hivyo ndivyo afanyavyo mwana wa nyoka, lazima aunde timu ya "The Winning Coalition" na huwezi kuplay front, hivyo lazima atawahitaji sana watu kama kina Benno, marafiki ambao umetoka nao mbali, you know them and you can trust.
Hata kina Mwanakijiji na CCJ yao, lazima wapange malengo, waje na workable strategies, watengeneze the winning coalition, wajadili utekelezaji, wahit the target, ndipo washinde.
Binafsi nawaadmire sana mastrategist kama hao, regardless wako chama gani, sio wakupuuzwa, wana uwezo wa kufanya mambo na sasa wamethibitisha uwezo huo.