Kumbe chadema dhiki tupu!
Kuna tetesi kuwa karagwe CCM wamechukua jimbo, hii ni baada ya kijina wa CHADEMA aliyekuwa akiongoza kwa tofauti ya kura 500+ kukubali kurudia kuhesabu kura, hii inatokana na Mh. wa zamani (Sr. Kahama) kumuaidi (pleadge) kiasi cha 200Millioni ili hata akishindwa apoze machungu. Hii ni very sad. Ilitakiwa aige mfano wa Mrema wa Arusha mjini yeye alisema kura hazihesabiwi upya labda kama Mungu anashuka.
kuna tetesi kuwa karagwe ccm wamechukua jimbo, hii ni baada ya kijina wa chadema aliyekuwa akiongoza kwa tofauti ya kura 500+ kukubali kurudia kuhesabu kura, hii inatokana na mh. Wa zamani (sr. Kahama) kumuaidi (pleadge) kiasi cha 200millioni ili hata akishindwa apoze machungu. hii ni very sad. Ilitakiwa aige mfano wa mrema wa arusha mjini yeye alisema kura hazihesabiwi upya labda kama mungu anashuka.
Kumbe chadema dhiki tupu!
Hakuna uwanja sawa wa ushindani katika uchaguzi huu.Tume inaripoti Ikulu unategemea nini?
Pale ambapo vyama vingine vimeshinda hususani Chadema ni kwa sababu nguvu ya umma ilikuwa kubwa.
Haya mambo ya kuhongwa ni propaganda tu maana nimesikia kuwa kilombero G.S amehongwa million 200,huku nako million 200,inakuwaje figure zifanane?Hamjui hata kudanganya,kweli nyie mabogas.Huu ni mpango wa kukichafua chama,kamwe hautafanikiwa.