R.I.P farida...lakini fidel Kuna sababu nyingi sana za wanawake kutoka nje ya ndoa...si pesa tu....R.I.P Farida
Sitaki niamini kuwa mmeo alikuwa hakupi matunzo ya kutosha mpaka ukarubuniwa na mwarabu wa dubai.
Kwa kweli inasikitisha sana Farida kwenda kumvulia nguo huyu mwarabu Guest ya Mkuzu Magomeni dah.
Jamani akina dada kuweni makini yasije wakuta yaliyo mkuta Farida kwa kupenda pesa za mwarabu akamuua guest.
Kinacho niuma zaidi huyu mwarabu amemmkata Farida uke wake dah
R.I.P Farida Salumu mtoto wa Tip Top
Lakini kuna sababu ya mwanamke kumegwa fasta na mtu ambaye wamekutana juu juu? Alafu mme/mke wa mtu
hapo ndo hatuna uhakika kuwa amekutana nao fasta au vp...heb scroll down kwenye phone book yako uone ni wake wangapi wa watu unaweza kuwamega in a go i mean unasisitiza tu two days unae...Lakini kuna sababu ya mwanamke kumegwa fasta na mtu ambaye wamekutana juu juu? Alafu mme/mke wa mtu
Fidel...Issa kamongo ndio nani?
r.i.p farida...lakini fidel kuna sababu nyingi sana za wanawake kutoka nje ya ndoa...si pesa tu....
Mkuu title inapingana na habari.
1. Issa kaongo hatumjui
2. Kwani huyu jamaa waloingia nae Guest ni Mwarabu??
3. Hata kama alikuwa hatunzwi jamani na pengine kwa mawazo yako hilo ndilo suluhisho, najiuliza hili la kumegwa tena na mtu asiyemjua? Hii haijakaa njema.
Kiongozi wa 5 Star Modern Taarab kama sikosei.
fidel,hata kama huo utupu wa farida muuaji kauchukua sio issue tena. manake marehemu hauhitaji. haya tena,kuna wale wenye fantasy ya kufanya mapenzi na total strangers, kazi ni kwenu!
MKIRUA
Hapo namba tatu..akuna anaemvulia nguo mtu asiemjua aijalishi mmekutana leo lakini mkikubaliana mkaenda mpaka magomen na kuvua chupi kama alikuwa nayo maana wa magomeni wengi wako na chupiless ndio maana hata makalio yao ukiona wanatembea unaweza hisi kizunguzungu kumbe
ukinyanyua tu ile nanii ushafika jikoni....so lazima anamjua weweushawahi mvulia mtu wacha chupi nguo usiemjua??lazima kuwe na tatizo kama jaamaa wa oslo norway