amekufa kifo kibaya sana, imagine alifanyiwa mangapi kabla ya kufikia kukatwa...
dah....rest in peace Farida.......sasa huo uke wa Farida huyo mwarabu nae kaupeleka wapi?.......
Mnatuchanga humu
hii habari na ile ya wos ya serial killer ni moja?
Je huyo mwarabu wa dubai ndo serial killer?????????
Kutokana na maelezo ya msemaji wa familia, huyu mwanamke alikuwa akitafuta fremu ya duka magomeni, kuna madalali walimuahidi, siku ya tukio wakampigia simu awafuate, kilichoendela hapo hakijulikani, maiti ilikutwa nje ya guest siku ya pili.
mpenzi, hayo maisha tu aliyokuwa anaishi ni mabaya kuliko huu mwisho wake. kama ndoa imekushinda unatambaa zako, ndo maana mimi na-support divorce! sasa kajipelekea balaa, na aibu mara dufu! unadhani watoto wake wakijua hii watapenda kweli kum-honour mama yao?
mhh wake za watu watukutu watakoma kuringa..kuna lijamaa limetendwa sasa linawatenda,polisi wakibongo kama kazi zimewashinda wamtafute Hotch na timuyake waje kuwasaidia jamani hatariii!
Mnatuchanga humu
hii habari na ile ya wos ya serial killer ni moja?
Je huyo mwarabu wa dubai ndo serial killer?????????
TECHMAN,Msemaji wa familia alipunguza ukali wa mambo...Maiti ya Farida ilikutwa Mkuzu Guest House,Chumba No.3 Magomeni,Walienda Guest mida ya usiku na Maiti ilitolewa chumbani baada ya Polisi kuvunja mlango.Kutokana na maelezo ya msemaji wa familia, huyu mwanamke alikuwa akitafuta fremu ya duka magomeni, kuna madalali walimuahidi, siku ya tukio wakampigia simu awafuate, kilichoendela hapo hakijulikani, maiti ilikutwa nje ya guest siku ya pili.
TECHMAN,Msemaji wa familia alipunguza ukali wa mambo...Maiti ya Farida ilikutwa Mkuzu Guest House,Chumba No.3 Magomeni,Walienda Guest mida ya usiku na Maiti ilitolewa chumbani baada ya Polisi kuvunja mlango.
TECHMAN,Msemaji wa familia alipunguza ukali wa mambo...Maiti ya Farida ilikutwa Mkuzu Guest House,Chumba No.3 Magomeni,Walienda Guest mida ya usiku na Maiti ilitolewa chumbani baada ya Polisi kuvunja mlango.
TECHMAN,Msemaji wa familia alipunguza ukali wa mambo...Maiti ya Farida ilikutwa Mkuzu Guest House,Chumba No.3 Magomeni,Walienda Guest mida ya usiku na Maiti ilitolewa chumbani baada ya Polisi kuvunja mlango.
RIP Farida.Kuvumiliana kwenye ndoa ni muhimu si kutoka nje.R.I.P farida...lakini fidel Kuna sababu nyingi sana za wanawake kutoka nje ya ndoa...si pesa tu....
unaona sasa?
na ile ya wos si ndo hii hii???????
Hii ni info ya muhimu sana ..jaribu kuipeleka polisi mkuuKutokana na maelezo ya msemaji wa familia, huyu mwanamke alikuwa akitafuta fremu ya duka magomeni, kuna madalali walimuahidi, siku ya tukio wakampigia simu awafuate, kilichoendela hapo hakijulikani, maiti ilikutwa nje ya guest siku ya pili.
ishu nyingine hazivumilikiRIP Farida.Kuvumiliana kwenye ndoa ni muhimu si kutoka nje.
Sijategemea kukutana na habari kama hii hapa Jf, Issa is like my brother(enzi hizo kiitani kariakoo mtaa wa donge).Simjui kiutandani Farida ila kwenye harusi yake nilimsindikiza issa kuoa(2008).toka siku ya harusi sijaonana tena na issa wala farida.
Duu hii kali, inabidi nianze mishemishe za kutafuta contact za watu wa kitaani ili nipate habari kamili.
R.I.P Farida.
Afadhali wewe umemtendea haki marehemu maana hii story ya Fidel mpya na hatuambii kaitoa wapiKutokana na maelezo ya msemaji wa familia, huyu mwanamke alikuwa akitafuta fremu ya duka magomeni, kuna madalali walimuahidi, siku ya tukio wakampigia simu awafuate, kilichoendela hapo hakijulikani, maiti ilikutwa nje ya guest siku ya pili.