Maskini mke wa Issa Kamongo

yaaani usione watu kwenye magari yao ya kifahari wanapita utajiri wao wengine ni wa utata,kuna jamii ya watu fulani wana imani sana na ushirikina, mganga akimtuma kiungo haoni shda kutafuta mmoja kumnyofoa na kupeleka,ila farida nae guest mke wa mtuz????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…