Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 56 Feb 18, 2011 #41 nyumbu- said: ufafanuzi tafadhali? Click to expand... mtoto si riziki yule.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,409 Reaction score 6,773 Feb 18, 2011 #42 Preta said: inafanyika wapi jamani hiki kitu wengine tumelemewa huku......naombeni na cost zake ili nijiweke kamili...... Click to expand... Preta Unataka kuwa njiti?Mbona Ubonge wako unaendana na Ufupi ulionao.Si unajua Uzito na Urefu vinamata sana!
Preta said: inafanyika wapi jamani hiki kitu wengine tumelemewa huku......naombeni na cost zake ili nijiweke kamili...... Click to expand... Preta Unataka kuwa njiti?Mbona Ubonge wako unaendana na Ufupi ulionao.Si unajua Uzito na Urefu vinamata sana!
Dumelambegu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 1,052 Reaction score 257 Feb 18, 2011 #43 Vipi ndugu mbona umeuliza kwa wasiwasi mkubwa? Au katika pitapita yako 'ulionana' nae na 'kumjua' sasa una wasiwasi inawezekana anaishi kwa mat...ni?!
Vipi ndugu mbona umeuliza kwa wasiwasi mkubwa? Au katika pitapita yako 'ulionana' nae na 'kumjua' sasa una wasiwasi inawezekana anaishi kwa mat...ni?!
YouTube JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 936 Reaction score 361 Mar 17, 2014 #44 tayari unene umeanza kurud tena