maskini rejao...

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Ndo natoka kuchungulia jukwaa la siasa,du maskini rejao,nimekuta anapewa za uso.........poor guy.....namsifu ana moyo lakini maana katika hali ya kawaida ukidundwa ile mingumi utaishia mwaisela.
 
Nimeona bado kwahiyo ngoja niusogeze hapa. . .

. . .Nanii anakusalimu, amesema akimaliza kukagua mgodi wake wa dhahabu Bhugimbagu atakuja kukusabahi.
 
We nae,toka amekununulia hako ka vitz kila analokwambia unamkubalia tu,kwa taarifa yako 'nanii' ni mlinzi nyumbani kwa bosi wa mgodi,hicho ki vitz ni hela alipata baada ya kuiba cheni ya mama mwenye nyumba.
Btw 'nanii' anatafutwa na polisi.
 
Aninunulie vitz kwani nae ni mhongaji a.k.a babu jinga? Vitz TUmenunua, na hayo mengine ni majungu tu.
 
hivi unampenda kweli?
Nambie unamchora tu na wikiend yangu itakuwa mwanana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…