Nakuunga mkono mkuu, safu ya ulinzi yote mpaka golini hakuna kitu! Mechi mbili imeruhusu goli 8!Timu mbovu Ile ya Gabon ilikuwa nzuri.. Ukimtoa Kevin John hakuna ambaye angepata namba kwenye ile timu ya Gabon.. Tulivyofungwa na Uganda mwaka Jana niliwaandikia TFF kwamba nusu ya wachezaji hawafai wakapuuza