Maskini simbaa

sijajua shaffih anaitafuta nini simba.
amekuwa mchambuzi wa ovyo kabisa
 
Klabu za Simba na Yanga ni vyanzo vya mapato kwa baadhi ya watu wajanja wajanja ambao hurithishana nyadhifa kwa kujuana kiukoo na wamekuwa wakinufaika kwa uwepo wa klabu hizo mbili hata kabla kuwepo kwa Tanganyika.

Wanaodai kuwa wenye timu hizo asilia huwezi kuwaambia kitu na wana jeuri ya kuitunishia misuli hata Serikali. Siyo rahisi kuleta mapinduzi ya usasa na kuziendesha timu hizo mbili kama kampuni, maana utavunja miiko ya wahenga hapo...... Wafadhili na wachezaji wengi tu wamejaribu na kushindwa!...
 
Nyuzi mbona mnazifungua mara tano tano maudhui ni yale yale ...mods changanyeni hizi nyuzi
 
Simba wametengaza nafasi za kazi luluki kwenye mtandao wa zoom Tanzania, Shaffih Dauda wahi kaombe kazi za ICT unaweza, Simba wako vizuri
 
Jamaa kashapiga ela sasa anawamwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…