duh,kumbe kuna wakina shehe yahaya humu
je wewe ni bikira????????
probably not...
je una sex?probably yes...
na akina nani??????......
how about uanze kuwaambia kila anaetaka ku sex na wewe kuwa 'unajiona huna thamani bila ya kuolewa'
na kwamba uko 'desperate ' kuolewa by 'any means' na hutajali 'lolote lingine' ili mradi akuoe????
Kwa ninavyojua siku hizi kuna asilimia inayozidi kuongezeka ya wadada wanaooa. Hapa simaanishi wanachukua wanaume wanawaweka kwao, namaanisha wanailazimisha ndoa hadi kinaeleweka. Kuna wanaume wengi tu hawawezi kuresist force ya mwanamke. Tafuta mmoja, tumia mbinu muafaka, lazimisha ndoa ifungike...

dah! Nimecheka mpaka basi!lol .chukua magadi kilo tano changanya na pilipili kichaa nusu kilo,weka maharage yaliyo kwisha pikwa chini ya mvungu wa kitanda kwa muda wa wiki kisha changanya vyote uoge.......hiyo ni dawa ya kuvuta nyota ya kwako iko mbali sana.
Duh, hili sasa linataka kuwa janga la kitaifa.
Naona limeshakuwa janga la Kitaifa njemba hazitaki kuoa siku hizi bali kula uroda tu halafu zinasepa, siyo kama ilivyokuwa enzi Wazazi wetu.
Duh, hili sasa linataka kuwa janga la kitaifa.
je wewe ni bikira????????
probably not...
je una sex?probably yes...
na akina nani??????......
how about uanze kuwaambia kila anaetaka ku sex na wewe kuwa 'unajiona huna thamani bila ya kuolewa'
na kwamba uko 'desperate ' kuolewa by 'any means' na hutajali 'lolote lingine' ili mradi akuoe????
ndo huolewi.yaani wewe husninyo siku ukiolewa paka ataota pembe.tatizo lako huna heshima kwa wanaume.nani atakuoa wakati humheshimu?wewe husninyo wanaume unawaona kama wasichana wenzio.na mwaka huu utajuta kuzaliwa.mwaka jana umesema ooh! naolewa sijui nna mchumba kakutosa.safari hii unamganda uporoto01.unafikiri uporoto ataoa bibi kizee ka wewe?