Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

if u can get milk, why keep a cow? source: mh dr mch gerturude rwakatare
Naona limeshakuwa janga la Kitaifa njemba hazitaki kuoa siku hizi bali kula uroda tu halafu zinasepa, siyo kama ilivyokuwa enzi Wazazi wetu.
 
sasa utaolewaje wakati ushajiona wewe ni "maskini wa Mungu"?
badilisha mtazamo na ujue kwa Mungu hakuna umaskini bali ni baraka tele.
ukiamini katika ujazo wa baraka za Mwenyezi Mungu hakika utanyeshewa baraka na
mume mwema utampata.
 
Usikate tamaa, Mungu anajibu kwa wakati.
@ 40 now i got fiance
we love each other
and expect to be married soon.
 
pole sana then unatakiwa utulie usilazimishe atakuja mwenyewe mana ukifanya haraka utatembea na kilamtu mwisho wasiku itaitwa changu
 
sasa utaolewaje wakati ushajiona wewe ni "maskini wa Mungu"?
badilisha mtazamo na ujue kwa Mungu hakuna umaskini bali ni baraka tele.
ukiamini katika ujazo wa baraka za Mwenyezi Mungu hakika utanyeshewa baraka na
mume mwema utampata.
Sijaamini kwamba mwenyezi
ameshindwa hapana, kuna andiko linasema 'mungu hawezi kumjaribu mtu kupita uwezo wake' ila mimi nimepitiliza naona kama mungu kaziba sikio kwa hilo sina amani kabisa
 
Relax dear na uache kujihukumu, nafahamu kuwa na ndoa ni kuzuri bt is not the only source of happiness kwenye hii dunia. Take it easy na utaona mambo yakijiseti yenyewe. In the mean time jifurahie na jithamini wewe mwenyewe kwanza.
 
pole sana then unatakiwa utulie usilazimishe atakuja mwenyewe mana ukifanya haraka utatembea na kilamtu mwisho wasiku itaitwa changu

nilivyokua na miaka 23 ndipo nilipoanza kutamani kuolewa kwa kasi sana nasikutegemea muda utaenda hivi nilikua nimerelax nanimetulia ila naona miaka inakatika tuu
hadi leo hii umri umekua 32 inaniuma saana
 
Pole mama,wewe uko mkoa upi? Unajishughulisha nanini? Pengine kama huna kitu kinacho kufanya usitoke eneo lako chukua muda wakuwa unatembelea ndugu na jamaa zako,au kama uko free hama makazi yako for temporaly.
 
Relax dear na uache kujihukumu, nafahamu kuwa na ndoa ni kuzuri bt is not the only source of happiness kwenye hii dunia. Take it easy na utaona mambo yakijiseti yenyewe. In the mean time jifurahie na jithamini wewe mwenyewe kwanza.
kuna wakati najipa moyo
nasahau ila baadae hali inarudi nakosa raha nikiona wenzangu wako na watoto
naumia kwakweli

wao

k
 
Shantel,Usikate tamaa endelea kumwomba Mungu.yeye hufungua milango kwa wakati wake.Kuna Mwalimu wangu toka nchi jirani nilipokuwa chuo alikuwa na kilio kama chako lakini sasa amepata mchumba na anatarajia kufunga ndoa mwakani na anazaidi ya miaka 35.All are possible in God,Keep the faith and stay encouraged
 
Pole mama,wewe uko mkoa upi? Unajishughulisha nanini? Pengine kama huna kitu kinacho kufanya usitoke eneo lako chukua muda wakuwa unatembelea ndugu na jamaa zako,au kama uko free hama makazi yako for temporaly.
Niko nafanya kazi kuna wakati hili swala lilinichanganya hadi nikaona bora niache kazi kwanza kwasababu wenzangu waliolewa nikabaki pekeyangu maswali yakawa mengi kwanini huolewi kwanini huolewi sio mabosi sio wafanyakazi sio wateja kumbe mwenzao najisikia vibaya naumia
mwishowe nikaona bora niache kazi ili nipunguze frustration ofisi ilikua mjini nakutana na watu kibao
ila wakuniambia dada nataka kukuoa ndio hakuna
 
chukua magadi kilo tano changanya na pilipili kichaa nusu kilo,weka maharage yaliyo kwisha pikwa chini ya mvungu wa kitanda kwa muda wa wiki kisha changanya vyote uoge.......hiyo ni dawa ya kuvuta nyota ya kwako iko mbali sana.

Ushauri mwingine bwana!!! Maharage yakilala siku mbili tu yananuka kama kinyesi, yakikaa wiki????? Halafu unaambiwa ukayaoge! Makubwa
 
Watu weng wanakata taa haswa ktk swala hili but y? Huku nikukosa akili nakufikiri tumezaliwa lazima kuowa ama kuolewa. Huwo ni urongo. Maisha yaweza kuwa tofaut na lamsing ni kumshukuru Mungu. Maana hata wanandoa hawazitak ndoa zao!
 
chukua magadi kilo tano changanya na pilipili kichaa nusu kilo,weka maharage yaliyo kwisha pikwa chini ya mvungu wa kitanda kwa muda wa wiki kisha changanya vyote uoge.......hiyo ni dawa ya kuvuta nyota ya kwako iko mbali sana.
duuuh hii dozi c ya kitoto unataka kumuua dada yetu nini?
 
Watu weng wanakata taa haswa ktk swala hili but y? Huku nikukosa akili nakufikiri tumezaliwa lazima kuowa ama kuolewa. Huwo ni urongo. Maisha yaweza kuwa tofaut na lamsing ni kumshukuru Mungu. Maana hata wanandoa hawazitak ndoa zao!
sijisikii kuishi bila mume kabisa wala sitamani haya maisha ninayoishi
 
nadhani kun umuhimu wa kuwa muwazi katika haya ili uweze kushauriwa vizuri
1.je uliwahi kuwa na mpenzi au hapana?
2.je ulishawahi kufanya mapenzi au hapana?
3.kiwango chako cha elimu na uwezo wako wa kipato ni wa kiwango gani?
Ukijibu mambo haya utatupa wigo mpana wakukushauri,32 sio umri mzuri kuwa bado huna hata mpezi umebakiza 8 yrs umalize umri wa kuzaa salama naomba majibu hata kwa PM nikushauri kitu.
 
Mbona hata jina unalotumia humu siyo zuri "chokochoko". Watu watahisi kuwa wewe ni mtu wa chokochoko na majina ya watu mara nyingi maana yake yanakuwa na uhusiano na tabia ya mtu husika. Mtu anayeitwa shida mara nyingi maisha yake yanakuwa ya shida ingawa naamini kwamba hapa hautumii jina lako halisi.
 
siko hivyo kaka mie wa kawaida kabisa sina mashauzi , siringi wala sijisikii, siendagi kwenye starehe wala pombe sio mnywaji, nakubalika sana kwenye jamii tatizo ni hilo tuu siolewi sijui nimemkosea nini mwenyezi mungu najuuta

Umeulizwa hapo juu je una sex? If yes kwa nini usimwambie akuoe ili msex vizur na kwa halali?

Unajua wanaume tunatabia mdada akiwa easy kwenye ku sexy ishu ya ndoa inafutika kabisa coz mtu anakuchukulia upo easy easy tu.

Na hakuna ndoa inayokuja tu vuu puu! Eti ulale uamke ukute mwanaume kaja anataka kukuoa!
Ni lazima mpitie kwa mahusiano haya ya kimapenzi na hapo ndio mdada anatakiwa achange karata zake vizuri aole au avuruge then aishie kufanywa kipozeo tu.

Naamini hapo kwenye mahusiano ndo unapoharibu.

JIPANGE...
 
...fanya yoote. Lakini usije jaribu kulazimisha ndoa ya fasta fasta ili 'uonekane' umeolewa. nawafahamu akina dada lukuki wanaolia, waliotoka, na walioangamia na ndoa za KUONEKANA. Maisha si ndoa, badili mtazamo.

teta nae mkuu...
post yako iko poa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…