Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
kuna kipindi nilikua nafungaHuna haja ya kukata tamaa,wa kwako yupo anakusubiri na huwezi kukutana naye mpaka wakati mungu aliokupangien ufike,usiangalie binadamu wanasema nn juu yako mwombe mungu akukutanishe na atakayekupa furaha ya ndoa na sio karaha,umri sio ishu kbs, na hao wanaume wakikujua tu uko desperati kuolewa wata take advantage na watakuchezea na kukuacha unalia,zidisha maombi ikiwezekana na kufunga na siku zote mjaribu mungu kwa kumtolea uone namna atakavyokujibu!toa hofu subiri wakati wa mungu.
naomba nimjibie!!!jibu hayo maswali hapo juu siyo mnakaa kujirusha 2 na wahuini unashtuka umri umekwenda,kaka kwa kifupi siyo bikira huyo coz hizo hazipo siku hizi
Tulia mpendwa, usimpangie MUNGU, usiende ibadani bacause you want him to do something specific for you, nenda sali, omba funga only kwasababu unapaswa kumuomba MUNGU, ukishamwekea MUNGU condition na yeye anajua kuwa akishakupatia MUME hutarudi tena kwake,nakuomba sana, muombe MUNGU katika hali yako ya udhaifu naye atakusikia haja ya moyo wako achana na sala za kujipendekeza kwa MUNGU. Kuna mstari unasema kuwa....hatupati yale tunayoyaomba kwasababu twaomba ili tupate kutimiza tamaa zetu....Kwa mfano sasa unasema; hio siku na mimi nikiwa na mume wakina fulani watanikoma, au nikiwa na kazi lazima vibinti vinikome, katika hali kama hii hatuwezi kujibiwa maonbi yetu. Imba leo pamoja na mimi nyimbo hizi, tafakari maneno haya, yaweke moyoni mwako. kisha subiri MUNGU akutimizie haja ya moyo wako.
Thanks ushauri wako umenijenga sana.Tulia mpendwa, usimpangie MUNGU, usiende ibadani bacause you want him to do something specific for you, nenda sali, omba funga only kwasababu unapaswa kumuomba MUNGU, ukishamwekea MUNGU condition na yeye anajua kuwa akishakupatia MUME hutarudi tena kwake,nakuomba sana, muombe MUNGU katika hali yako ya udhaifu naye atakusikia haja ya moyo wako achana na sala za kujipendekeza kwa MUNGU. Kuna mstari unasema kuwa....hatupati yale tunayoyaomba kwasababu twaomba ili tupate kutimiza tamaa zetu....Kwa mfano sasa unasema; hio siku na mimi nikiwa na mume wakina fulani watanikoma, au nikiwa na kazi lazima vibinti vinikome, katika hali kama hii hatuwezi kujibiwa maonbi yetu. Imba leo pamoja na mimi nyimbo hizi, tafakari maneno haya, yaweke moyoni mwako. kisha subiri MUNGU akutimizie haja ya moyo wako.
ONE DAY AT A TIME SWEET JESUS
I'm only human; I'm just a man/woman
Help me believe in what I could be
And all that I am
Show me the stairway I have to climb
Lord for my sake, help me to take
One day at a time
One day at a time sweet Jesus
That's all I'm askin' of you
Just give me the strength
To do every day what I have to do
Yesterday's gone sweet Jesus
And tomorrow may never be mine
Lord, help me today, show me the way
One day at a time
Do you remember when you walked among men
Well Jesus you know
If you're lookin' below, it's worse now than then
Pushin' and shovin' and crowdin' my mind
So for my sake, teach me to take
One day at a time
One day at a time sweet Jesus
That's all I'm askin' of you
Just give me the strength
To do every day what I have to do
Yesterday's gone sweet Jesus
And tomorrow may never be mine
Lord, help me today, show me the way
One day at a time
YOU RAISE ME UP
When I am down and, oh my soul, so weary;
When troubles come and my heart burdened be;
Then, I am still and wait here in the silence,
Until you come and sit awhile with me.
You raise me up, so I can stand on mountains;
You raise me up, to walk on stormy seas;
I am strong, when I am on your shoulders;
You raise me up: To more than I can be.
You raise me up, so I can stand on mountains;
You raise me up, to walk on stormy seas;
I am strong, when I am on your shoulders;
You raise me up: To more than I can be.
There is no life - no life without its hunger;
Each restless heart beats so imperfectly;
But when you come and I am filled with wonder,
Sometimes, I think I glimpse eternity.
You raise me up, so I can stand on mountains;
You raise me up, to walk on stormy seas;
I am strong, when I am on your shoulders;
You raise me up: To more than I can be.
You raise me up, so I can stand on mountains;
You raise me up, to walk on stormy seas;
I am strong, when I am on your shoulders;
You raise me up: To more than I can be.
haiwezekani tuliite janga la kitaifa na wakati mi kila siku natafuta kupitia love coonect lkn hajajitokezaNiko nafanya kazi kuna wakati hili swala lilinichanganya hadi nikaona bora niache kazi kwanza kwasababu wenzangu waliolewa nikabaki pekeyangu maswali yakawa mengi kwanini huolewi kwanini huolewi sio mabosi sio wafanyakazi sio wateja kumbe mwenzao najisikia vibaya naumia
mwishowe nikaona bora niache kazi ili nipunguze frustration ofisi ilikua mjini nakutana na watu kibao
ila wakuniambia dada nataka kukuoa ndio hakuna
Dada umenkumbusha wimbo mmoja wa dr remmy na kale ka wimbo ka tankat almas...kwa umri wa 32 mbona bado sana! Yule bib wa ufaransa mbona kaolewa akiwa above 70, we subiri tu!
Wajameni wapendwa wa mmu nisaidieni kimawazo mie mwenzenu nimechanganyikiwa sasa.
Tatizo langu ni kwamba nimemuomba mungu kwa muda mrefu nahitaji kuolewa bila mafanikio wadogo zangu
wote wameolewa marafiki zangu wakaribu wote najisikia vibaya sana najiona sina maisha sina furaha ya ma
isha mimi.
Navyojua mimi kila mwanadamu anahaki ya kuoa/kulewa ili awe na familia sasa mimi maisha gani haya nayoishi raha ya maisha nikuona uko na watoto wako na mume wako kwakweli kuna utamu wake kuliko kuishi kwa wazazi mtu mzima sivutiwi na maisha ya kuishi pekeyangu wala sitamani tamaa yangu nikuwa na familia, kiukweli umri wangu umeenda sana mwezi ujao naanza mwaka wa 32 sasa najiuliza sijui nizae bila kuolewa? Japokuwa naona hali hiyo itanitesa baadae.
Sina lakufanya nalia kila kukicha najiona sina thamani wenzangu wana watoto mimi sina hata wa dawa basi nimechanganyikiwa nasikia uchungu mimi.
Nisaidieni nipeni moyo nifanyeje nimeshaomba mungu saana bila mafanikio.
Nashukuru umeielewa presha yangu, nyuma sikuwa na presha wala nini sema naona umri unakimbia itakujaNdo matatizo ya watu wasiojua Juu ya Elimu ya Uzazi we ukiwemo.. Unajua ki2 kinachoitwa Menopause halafu kuna kitu kingine Kinaitwa Genetic Disorder(Mongolion). Mwanamke anakoma kuzalisha mayai ya kike anapofikia umri wa miaka 45-50,ambapo hawezi kubeba mimba,na hata ikitokea akabeba,Mtoto anaweza akawa na Mental illness/Mongolion.. Sasa huyu anamiaka 32 siyo mbaya ila awe na subira,lakn kuwa makini Mana unawez panga uwe na watoto 3 au zaid,.lakn ukaishia kuwa na Mmoja kulingan na umri unavyozd kwend,.
Nashukuru umeielewa presha yangu, nyuma sikuwa na presha wala nini sema naona umri unakimbia itakuja
fika nahitaji watoto nisiwapate nami napenda niwe na mtoto zaidi ya mmoja basi nachanganyikiwa