Masks zina faida nyingi

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Unaweza pishana na ex wako wala msitambuane...

Au wale wazee wa mizinga kila ukikutana nao unapishana nao bila wao kujua...

Achilia mbali wale wakiongea mate yanawatoka .. angalau now ukivaa masks uko safe

Kingine masks zinaweza kukwambia status ya mtu..
Kuna mask zinaeleza exposure ya mtu..
Kuna zile mradi masks nazo ..kitenge au kipande cha shati..

Hizi masks zina faida nyingi..
 
Unaweza pishana na ex wako wala msitambuane...

Au wale wazee wa mizinga kila ukikutana nao unapishana nao bila wao kujua...

Achilia mbali wale wakiongea mate yanawatoka .. angalau now ukivaa masks uko safe

Hizi masks zina faida nyingi..

Siku mbili hizi natembea nimevaa mask,miwani na kofia,nikijumlisha na jeans yangu iliyochanika chanika najiona kama niko kwenye movie
 
Pia zinaondoa ile hali yakupenda kutafuna tafuna ovyo kama mahindi,karanga,machungwa n.k...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku mbili hizi natembea nimevaa mask,miwani na kofia,nikijumlisha na jeans yangu iliyochanika chanika najiona kama niko kwenye movie
Unajikuta nani sijui hapo mwenyewe πŸ˜…
 
Siku mbili hizi natembea nimevaa mask,miwani na kofia,nikijumlisha na jeans yangu iliyochanika chanika najiona kama niko kwenye movie
Unawa enjoy wale unaowajua lakini hawajakutambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…