Masks zina faida nyingi

Jana dereva wa daladala alikuwa analalamika eti hizi barakoa zitafanya tupishane tu na wake zetu humu njiani....anaazima dera kwa dada yake anapiga parakoa yake utamjua saa ngapi
 
Siku mbili hizi natembea nimevaa mask,miwani na kofia,nikijumlisha na jeans yangu iliyochanika chanika najiona kama niko kwenye movie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi wewe
 
Jana dereva wa daladala alikuwa analalamika eti hizi barakoa zitafanya tupishane tu na wake zetu humu njiani....anaazima dera kwa dada yake anapiga parakoa yake utamjua saa ngapi
Very true ..kutakua na kutopoteza mda mitaani
Hata watongozaji watapata shida..
Huwezi tongoza mtu hujamuona vizuri labda ex wako je?
 
Hahahaha, ngoja watoto wa uswazi wafanye ubunifu ,kwa kuanza kukaba huku wameziba sura kwa mask ,we unajua barakoa
 
hapo kwenye kupishana na watu bila kuwatambua ndo ninachopendea😊
 
Mask zimeua soko la lipstick! [emoji41][emoji41][emoji41]

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…