Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam.
Nimefanya utafiti mdogo kujua kwanini police wanakula rushwa na kudhulumu raia nikagundua ni mishahara duni wanayolipwa na serikali sikivu ya ccm. Police walishaua wafanyabiasha wa madini kutoka mahenge na kuwadhulumu pesa na madini kisha kutangaza wameua majambazi.
Dhuluma na uonevu wa jeshi la police imezidi mpaka imefikia kuchukiwa na raia kwa kiasi kikubwa mpaka kupelekea kulipizana visasi.
Tuombe sana mungu wasijetokea kina hamza wengine na kulipiza kisasi kwa kuwaua police maana ni raia wengi sana wameumizwa na police na kuporwa mali na fedha na kupambikiwa kesi.
Hitimisho: police wetu wamegeuka watumishi wa ccm kwa kulipwa mishahara duni, ni vema police warudi kwenye miiko ya sheria zao na kuwatumikia wananchi wote na sio chama cha mapinduzi kama ilivyo leo.