Tax kwa wachezaji wa First division in Belgium ni less than 20% kwa kifupi wachezaji Wanalipa kodi ndogo ukilinganisha na wafanyakazi wengine ambao Wanalipa 25% to 50% na Hao wanaolipa 50% haifiki hata 2%.Smata yupo belgium, Serikali inachukua asilimia 53 ya pato lile la milioni 40 kwa mwezi, hivyo anabakiwa na milioni 18 hivi kwa mwezi
Hivi vitu viliwahi kuwaumiza sana ronaldo na messi, ronaldo aliomba mkataba wa kulipwa mshahara wake baada ya kodi, kijana alikuwa ana mshahara wa milioni 800 kwa wiki, akipokea hasumbuliwi na tra za huko spain, kiufupi mshahara waliokuwa wakimpa ni takribani bilioni moja na nusu na wakienda kulipa kodi zake ndio wanamuingizia benki hio milioni 800
View attachment 1303365
Duhhh samatta aende Liverpool? Liverpool hii hii inayowakilisha dunia kwenye mashindano ya sayari au kuna Liverpool nyingine mnayoizungumzia humu ndani?Ni kweli kabisa, Liverpool ama timu nzuri ikimtupia jicho basi kujana anaweza kuanza kuvuta angalau milioni 150 kwa wiki
Ndiyo kiwango chake kinaendana na mshaharaNi kubwa sana kwetu, Ila katika ulimwengu wa soka la kulipwa huko ulaya ni pesa ya kawaida kama sio ndogo,
mpira sio burudani tu, ni ajira yenye maslahi kiuchumi.
Kijana wetu kafanikiwa kutinga huko ulaya na kweli anatoa burudani safi ila tatizo ni hapa kwenye maslahi.
Wengi wakisikia analipwa milioni 40 kwa mwezi wanaona ni nyingi sana ila ni mshahara mdgogo ama wa kawaida mnoo katika soka la kulipwa barani ulaya,
Pengine akisogea ligi za uingereza ambako wengi wamekejeli kwamba atakosa namba aua timu zinazomtaka hazishiriki uefa ama europa, yawezekana ikawa ni neema tosha wndapo akihamia hizo timu ambazo zinaweza kumlipa vizuri zaidi akawa kwenye levo zinazokaribia na wachezaji wa kawaida kama kina wanyama wanavuta milioni 200 hivi kwa wiki
Kijana umri unaenda, kwa sasa ana miaka 27 kabakiza miaka micjache ya kuwa katika standard nzuri kwenye soko .
Je ni muda muafaka wa kijana kwenda ligi za england ili apambanie maslahi???