Maslahi ya Wanadiplomasia wanaowakilisha Tanzania nje ya nchi

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Mbali na mishahara minono (paid in major strong currencies USD, GBP, CAD),

1. Kulipiwa nyumba, sehemu za hadhi ya juu

2. Ada za watoto kwenye shule za kimataifa

3. Tiketi za ndege daraja la Kwanza/business (biashara).

4. Kubadilishiwa fenicha za ndani kila mwaka.

5. Msamaha wa Kodi wanunuapo magari.

Nini maslahi zaidi ya hawa wanadiplomasia wetu wapendwa huko ughaibuni?

Je, wananufaisha nchi kibiashara/fursa au maslahi yote hayo yanaenda bure?

BCC: Polepole, Togolani, Dr Possi, Dr Bana etc.
 
Mbali na mishahara minono (paid in major strong currencies USD, GBP, CAD),

1. Kulipiwa nyumba, sehemu za hadhi ya juu,

2. Ada za watoto kwenye shule za kimataifa,

3. Tiketi za ndege daraja la Kwanza/business (biashara).

4. Kubadilishiwa fenicha za ndani kila mwaka.

5. Msamaha wa Kodi wanunuapo magari.

Nini maslahi zaidi ya hawa wanadiplomasia wetu wapendwa huko ughaibuni?

**Je wananufaisha nchi kibiashara/fursa au maslahi yote hayo yanaenda bure?

BCC: Polepole, Togolani, Dr Possi, Dr Bana etc.
Nafasi za waliokosa ubunge au wasumbufu wa mifumo. Usitegemee jipya
 
Kwanza ungetafuta ni KAZI zipi wanazifanya, ufanye tathmini ya hizo kazi kama wamefanya. Ulizo ainisha ni sehemu tu ya malipo na faida zingene ya nyadhifa zao.

Nchi yetu tuna copy na kupaste, kwasababu nchi zingine wanao mabalozi, kwanini na sisi tusiwe nao, hata kama hawana kazi za kufanya huko waendako.

Magufuli alianza kulia nao, maana hawana msaada wowote zaidi ya kuliangamiza taifa kwa ujira mkubwa wanaupata.
Nchi inapeleka balozi Malawi, Msumbiji, Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya wafanye nini? Hizo nchi ni wanachama wa EAC, na kama ingewezekana Balozi mmoja tu angetosha.

Tunge weka mabalozi ki kanda, yani Europe mmoja, Asia kwa ukubwa wao wawili, Meddle east mmoja, North America Wawili, South America Wawili kwisha.

Sasa Shangaa USA kwa ukubwa wake tuna balozi mmoja, halafu Europe kila nchi tunabalozi, kwanini tusiwe na balozi kila state huko USA?

Tujifunze kubana matumizi.
 
Kuna sehemu nyingi tuko kikanda....Brasil huko nchi zote Amer8ca Kusini anawakilisha....nenda Sweden ana nch kama 7 za scandnavias etc
 
Kwanini Afrika nako tusiwe na mabalozi wawili, nchi zingine hatupaswi kuwa na balozi kabisa, ni uaribifu wa pesa za umma. Mabalozi wenyewe kila siku wako Tanzania hii.
 
Wamekusikia......sasa mki sign ushirikiano wenzako wakaleta balozi lazima na wewe upeleke.....
 
Back
Top Bottom