Napata shida sana kutafuta chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini hususani pale ambapo unakuta kuna wanafunzi wanahitimu darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika. kwa misingi hiyo je kulikuwa na migomo baridi toka huko nyuma inayosababisha kushuka kwa kiwango cha elimu au tatizo ni hiki kizazi cha dot.com