Maslai madogo ya walimu ndiyo chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini?

yongo

Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
9
Reaction score
3
Napata shida sana kutafuta chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini hususani pale ambapo unakuta kuna wanafunzi wanahitimu darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika. kwa misingi hiyo je kulikuwa na migomo baridi toka huko nyuma inayosababisha kushuka kwa kiwango cha elimu au tatizo ni hiki kizazi cha dot.com
 
Ndio, na baada ya majibu ya dhaifu leo, itakuwa hivi 1+3=13, na 87-7=8, hadi mtakoma na CCM yenu. Mlichagua kiushabiki, sasa mtatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…