Masogange: Sirudi bongo hivi karibuni

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MREMBO aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali za wasanii Bongo, Agness Gerald ' Masogange ' amefunguka kuwa hatarajii kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana .

Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Masogange alisema kuwa alivyoondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini ameona baadhi ya vitu vyake vinamuendea sawa na maisha yake yanasonga mbele siku hadi siku na kwa kuwa ana uraia wa Afrika Kusini, hategemei kurudi hivi karibuni .

"Bongo kwa sasa wasubiri kwanza kwani kuna vitu muhimu sana nafanya huku na nikishakamilisha nitakuja Bongo kidogo kusalimia maana siku hizi si unajua ni wa hukuhuku, " alisema Masogange .
 

Attachments

  • 1416818458782.jpg
    54.3 KB · Views: 2,096
warumi

Aje asije HAITUHUSU!!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani mashabiki wake ni wale wanaulizwaga na Nape mnataka katiba wanajibu hapanaaaa!
 
Sema daah uwongo mbaya mtoto kajaliwa.Hata nikinyamaza roho itasema kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…