Masoko kuungua Moto hiyo ni Mipango tu

Masoko kuungua Moto hiyo ni Mipango tu

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Mambo ya kuungua kwa masoko mara kwa mara Maeneo tofauti tofauti nchini

Hiyo yote naona ni Technique ya kutaka kuboreshewa masoko hayo na sio vinginevyo

Hili watengenezewe soko la kisasa zaidi
 
Back
Top Bottom