Ghost MVP
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 439
- 736
Miundombinu ya masoko, na maduka mengi, au maeneo mengi ya biashara haijakaa vizuri, hawajawahi kabisa kufikiria hili, alafu mwisho wa siku wanalaumu Jeshi la Zima moto, na gari zenyewe za kutafuta kwa Tochi.
Nchi za wenzetu kuna System wanaitumia hata katika mitaa ya makazi ya watu, wanaita "Fire Hydrats" hizi zinasaidia kukabiliana na Moto kwa haraka bila kujali kuishiwa maji, ila hapa Kwetu hakuna na ikiwepo, watu wa maji watatuacha salama kwel, au ndo wanaweza yakata pia.
Mamlaka izingatie miundombinu mizuri katika sehemu hizi
Pole watu wa moshi, na wafanya biashara wa Soko la Mbuguni. Huu ni uzembe wa Mamlaka