Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani
Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for chip manufacturing ni miongoni mwa makampuni yaliyo registered NASDAQ na S&P 500.
Na mengine ni Alphabet, Amazon, Apple, Meta Platforms, Microsoft, Tesla n.k
Siku 5 zilizopita DeepSeek walizindua rasmi AI ambayo ni bora kuliko zile za Marekani na mataifa mengine. Matokeo ni kwamba hilo limechangia kushuka kwa hisa za makampuni ya teknolojia ya AI katika soko la hisa la NASDAQ na S&P 500
Hisa za NVIDIA zimeshuka kwa 13.19% ambayo ni sawa na kupoteza $ 450 billion. Makampuni mengine ya teknolojia ya NASDAQ yameshuhudia kuporomoka kwa hisa zao mfano AVGO (-13.15%), TSML (-11.97%), ASML (-6.11%)

Kwa ujumla ndani ya masaa kadhaa tu NASDAQ na S&P 500 wamepoteza karibu $1.2 trillion kwa sababu ya ujio wa Mchina DeepSeek
Mpaka sasa DeepSeek imeipita ChatGPT kwa kupakuliwa zaidi na watumiaji wa vifaa vya Apple kwenye App Store.

'DeepSeek is an excellent AI advancement and a perfect example of Test Time Scaling. DeepSeek’s work illustrates how new models can be created using that technique, leveraging widely-available models and compute that is fully export control compliant.'
— NVIDIA statement on DeepSeek
— NVIDIA statement on DeepSeek
Unapozungumzia Silicon Valley nchini Marekani unazungumzia eneo lililopo Northern California ni global center for high tech na innovation, mmoja wa wawekezaji na bilionea wa Silicon Valley naye katoa ya moyoni kuhusu DeepSeek
"DeepSeek's model is one of the most amazing and impressive breakthroughs I have ever seen, and as open source, a profound gift to the world."
— Marc Andreessen (American billionaire and Silicon Valley investor)

Mapema mwezi January refugeess wa TikTok nchini Marekani walihamia Xiaohongshu (RedNote), na sasa wanahamia DeepSeek kutoka ChagGTP.
The past month has been really tough for those anti China fellows. Heartbreaking!