Masoko ya Kuku wa Kisasa

Masoko ya Kuku wa Kisasa

Lambardi

Platinum Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
18,813
Reaction score
21,830
Wadau heshima mbele,nimeanza kufuga kuku wa kisasa wa nyama!

Napenda ushauri wenu juu wa masoko ya kuku hao hasa kwa wanunuzi wa jumla!ninaanza kuku 1,000 .Naomba uzoefu!PM kwa uharaka zaidi
 
Sifahamu uko wapi ila ni wenye matenga/sokoni, wenye chips, hotel, bar, grocery, institutions kama shule, vyuo, kumbi za ,mikutano sherehe. Wote hawa usichague na ukiwapata wa uhakika wa jumla ni vizuri zaidi maana kutegemea rejareja hawa kuku kama wengi hasara wanakula sana. Kila la heri
 
Back
Top Bottom