Masomo kwa wanaotarajia kufanya mitihani ya NBAA Module E & F May 2014

Kiraucha

Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
26
Reaction score
2
Tunafundisha masomo ya CPA module E na F hasa kwa wale walio busy makazini hivyo kukosa muda wa kuhudhuria review classes kila siku. tuwasiliane tupange mda wa kukutana na kukufundisha. pia kwa wale walio na mda na wanaattend review ila wanahitaji kusoma baadhi ya topics tunawakaribisha pia.

Bei ni nzuri na inategemea na muda wa kusoma ulionao.

Hii ni kwa ajili ya wakazi wa Dar-es-Salaam na maeneo ya jirani. Masomo yatakayo fundishwa ni M.A, C.I.A, AUDITING, FR, TAX & IF.

Tuma Msg kwenye no 0782 836 749 au ni PM no yako tutakutafua.

KARIBUNI
 
1.TANGAZO LA UBABAISHAJI MIMI SIWEZI KUSOMA KWENU KWANZA HUJAWEKA JINA LA HIYO REVIEW CLASS KWANI REVIEW CLASS ZOTE LAZIMA ZIWE REGISTERED NA BODI (NBAA).


CPA NAYO MNAKUSANYIKA KWNYE SEBULE YA MTU
NDIYO MAANA WATU WANAFELI KWANI REGISTERED REVIEW CLASSES HUWA WANAKAA SEMINA MBALIMBALI WANAAMBIWA NA BODI MAMBO AMBAYO YAMEBADILIKA SASA UKISOMA UCHOCHORONI SIJUI UTAAMBIWA NA NANI?




2. HAKUNA MAJINA NA WASIFU WA WALIMU WALIOPO HAPO HILI LINALETA WASI WASI UNAWEZA UKAFUNDISHWA NA MTU MWENYE DEGREE TUU AU DIPLOMA MTU AMBAYE HANA CPA AU AMBAYE HAJAWAHI KUFANYA MITIHANI YA BODI WAKATI NI KINYUME NA SHERIA.



3. INAONEKANA HIYO REVIEW CLASS NI YA KIHUNI KWANI MPAKA SASA HAMNA SILABASI KWANI SASA HIVI HAKUNA MODULE E &F



4. PIA UTAPELI WENU UMESHINDWA KUGUNDUA HATA MAJINA YA MASOMO MIMI NAMALIZA MAY MWAKA HUU HAKUNA SOMO LINAITWA M.A KUNA PERFORMANCE MANAGEMENT NA I.F (Hilo somo halipo)



5.NAKUSHAURI TUU UANDIKE MASOMO AMBAYO YAPO KUISHI KWA UTAPELI SIYO VIZURI. NI HAYO TUU
 
Tangazo lilikua la cku nyingi.... Now nipo mwanza nafundishia huku.
Allen endelea kujiuliza wenzio wanachukua cpa zao kila kukicha
 
tangazo lilikua la cku nyingi.... Now nipo mwanza nafundishia huku.
Allen endelea kujiuliza wenzio wanachukua cpa zao kila kukicha

acha mikwara aseee. Ivo ni vitisho dawa yao ni covenant financial consultants.come and make covenant with us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…