Masomo matatu Advance hayana mana.

Unataka uitwe GREAT KILAZA?

NB: Jibu swali,usikurupuke kuchora Zombie.

Of course a one track mind will always see one direction, ukimwambia siendi Kaskazi, basi anaelewa unaenda kusi.

Hajui kwamba unaweza kuwa unaenda magharibi au mashariki.

Au unazama katika Kaluza-Klein manifold kabisa uondoke kwenye neighborhood.

Huyo Isaac Newton mwenyewe anayesifiwa kwa mengi alikataa kuitwa great thinker.

Does that mean alitaka kuitwa "Great Kilaza"?

Nani anakurupuka hapa sasa?
 

Si unaona ushakurupuka,umechora zombie sasa NIMEKUULIZA SWALI LA MSINGI wewe umeongelea mengine,kwani nimekuuliza habari za Isaac Newton.

NB: Natoa tena angalizo la kutokuchora Zombie.Ahsante
 
Si unaona ushakurupuka,umechora zombie sasa NIMEKUULIZA SWALI LA MSINGI wewe umeongelea mengine,kwani nimekuuliza habari za Isaac Newton.

NB: Natoa tena angalizo la kutokuchora Zombie.Ahsante

Of course one track mind ukiipa explanation yenye mifano unaichanganya kabisa.

You seem to either lack the capacity to process information and connect a simple example to your question or simply be dishonest.

Anyway you cut it it stinks.

Nani anachora zombie sasa?
 
Masomo matatu yanatoa flexibility zaidi.
flexbility unaamua mwenyewe kuwa flexble,labda diversification of which is bad system maana ni kama unabahatisha,ukikosa hapa uambulie pale
 
hii hoja ya msingi sana embu nitulie na mimi ntakuja na mawazo!!!
 
Endelea we si unajua kuchambua vipi kuhusu ECA aache nini kama hujui umuhimu wa Economics Commerce and Accountancy akitaka kwenda kusoma Biashara chuo maana zote zina maudhui tofauti na kwa kuona hayo bado hayatoshi akaongezewa na BAM sababu akienda chuo atakutana na hesabu pia.
 
Upuuzi kama huu lazma tukutukane akili yako kama ya nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…