Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

sonofdory

Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
78
Reaction score
38
Wakuu. Hivi punde nimepata habari kua matokeo ya kidato cha sita 2016 yatatangazwa kesho ijumaa, tarehe 08/07/2016. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Pro. Joyce Ndalichako, wanafunzi waliosoma masomo ya sanaa waongoza kwa kufaulu....!! Wanafunzi waliofanya mtihani huo wanatakiwa kuwa na subira tu.
 
Matokeo ni Siri acha ujinga. Acha uzushi hakuna wakutoa siri mpaka yatangazwe
 
Ayaweeeeee!!!! tusubir mambo yanakuja!! prof anakula msosi!
 
jaman................. hakuna anayejua zaid ya wale wanaosahisha.... kwaiyo izo n romous tu
 
Jipen moyo cku ukiona mkopo hauna ndo utaamini
Achen kuwanyanyapaa wanaosoma masomo ya art.
Hao wanasayans wenyew hapa tz sion wanachofanya hata kidogo!!
Mwisho wa siku wanakuja kugundua watu vitu ambao ata hawajasoma
 
Back
Top Bottom