Masomo ya IT kwa njia ya posta Bongo

Masomo ya IT kwa njia ya posta Bongo

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Naomba mtu mwenye kujua chuo kinachofundisha masomo ya IT kwa njia ya posta.online nk kwa ngazi ya cheti na diploma anijulishe,nataka kusoma.nataka chuo makini,kinachotambulika serikalini hata kama kinafundisha vizuri vipi lakini hicho ni kigezo kwangunitashukururm
 
Back
Top Bottom