Masomo ya kilimo

Masomo ya kilimo

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
3,435
Reaction score
4,245
habar wakuu. wizara ya kilimo kupitia website yao www.kilimo.go.tz wametangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma kwa general agriculture vyuo mbalimbali vya kilimo vya serikali
 
Hii website inachagua maeneo nini mbona huku Ludewa inagoma kufunguka ktk sim kilikoni.?
 
Marafiki nisaidieni mawazo nimemaliza kidato cha nne 2012 na kupata alama D katika masomo ya biology,history,bookkeeping,commerce,civics na kiswahili nichuo gani nafaa kwenda na kwa fucult ipi?
 
Back
Top Bottom