habar wakuu. wizara ya kilimo kupitia website yao www.kilimo.go.tz wametangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma kwa general agriculture vyuo mbalimbali vya kilimo vya serikali
Marafiki nisaidieni mawazo nimemaliza kidato cha nne 2012 na kupata alama D katika masomo ya biology,history,bookkeeping,commerce,civics na kiswahili nichuo gani nafaa kwenda na kwa fucult ipi?