Masomo ya QT

P I M

Senior Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
139
Reaction score
24
Habari zenu wana jukwaa, mie nina shida kidogo tu ila kwa kupitia jukwaa hili naamini nitapata ufafanuzi na usaidizi.
Kie nina miaka kumi tangu nihitimu elimu yangu ya msingi na kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kendelea na elimu ya sekondari.
Sasa baada ya kakaa kwa mda nimeona ni heri niweze kujiendeleza zaidi angalau nipate cheti cha kidato cha nne, mimi napatikana Mwanza na ni vizuri kwa mwenye taarifa ya mahali wanapotoa elimu ya QT aweze kunisaidia ili niweze kuwatembelea na kuanza masomo yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…