Masomo ya Sanaa A- Level

hassan mudy

Member
Joined
May 18, 2015
Posts
10
Reaction score
1
Habari ndugu zangu.
Shukrani za dhati ziwaendee wale wotewanaofakisha jukwaa hili la Elimu katika nyanja zote ndani ya JF ila ningependa msaadazaidi utolewe pia kwa Elimu ya upili wa juu ili kusaidia kwa wale wanaojifunza kama watahiniwa wakujitegemea pamoja na wale wa mashuleni kama ilivyofanyika kwa masomo ya upili wa chini .

Shukrani za dhati zitangulie kwa walimu wote walio tayari katika hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…