Kiukwel hali ni mbaya sana kwa walimu wa sayansi kwanza idadi yao ni ndogo sana ukilinganisha na hawa wa art na makazin pia hawapo kias kwamba hal ni mbaya sana.Mwl mwenye vipindi vichache anavyo 35 kwa wiki wakat wa art ni 4 mpk 2.
Serikali imeliacha hili kimya na ndo maana linaendelea.Taifa haliwezi kuzalisha wataalamu wa sayans kwa sasa..
Serikaki iweke mishahara tofauti ili pia isaidie kuwapa moyo walimu na kuwavuta wengine kusoma sayansi.