Kiukwel hali ni mbaya sana kwa walimu wa sayansi kwanza idadi yao ni ndogo sana ukilinganisha na hawa wa art na makazin pia hawapo kias kwamba hal ni mbaya sana.Mwl mwenye vipindi vichache anavyo 35 kwa wiki wakat wa art ni 4 mpk 2.
Serikali imeliacha hili kimya na ndo maana linaendelea.Taifa haliwezi kuzalisha wataalamu wa sayans kwa sasa..
Serikaki iweke mishahara tofauti ili pia isaidie kuwapa moyo walimu na kuwavuta wengine kusoma sayansi.
tatizo sio lipo kwa walimu tu hata wanafunzi wenyewe hawana ari ya kusoma masomo ya sayansi ndio maana walimu nao huwa wanakuwa kama hawaeleweki darasani.
Serikali haijaonesha jitihada zozote kuhuisha masomo ya sayansi sielewi kwa nini wanaacha hali hii iendelee kuwa mbaya. kuna wakati Rais Kikwete alinukuliwa kuwa ana mpango wa kuleta walimu wa masomo ya sayansi toka nje ya nchi, Hadi leo kimyaa, kama kawaida yake kuwa na ahadi zisizotekelezeka. Nawashauri walimu wa sayansi wadai usawa wa idadi ya vipindi mashuleni la sivyo mtaendelea kuteseka
Serikar inapaswa ipromote walim wa sayans ili watu wawe na mhamko wa kosoma Sayans
tatizo sio lipo kwa walimu tu hata wanafunzi wenyewe hawana ari ya kusoma masomo ya sayansi ndio maana walimu nao huwa wanakuwa kama hawaeleweki darasani.
Ndiyo BRN hiyo...
Sasa mbona unachanganya habari.
Unazungumzia science au mathematics???
mathematics pia n sayansi