Masomo ya stashahada ualimu wa sekondari (sayansi na hisabati) kwa wahitimu wa kidato cha nne

Masomo ya stashahada ualimu wa sekondari (sayansi na hisabati) kwa wahitimu wa kidato cha nne

ismailyy

Senior Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
123
Reaction score
18
Jamani wanaJF mwenye taarifa naomba anisaidie kama selection za kusomea ualimu katika chuo kikuu DODOMA kama zimeishatoka kwa kidato cha nne.
 
badoooo.

nacte ndio wana jukumu la kutoa hizo post.

kuwa mvumilivu na utapata chance
 
Zishatoka kitambo na deadline ya kuomba ufadhil heslb kwa waliochaguliwa ilikuwa tr10/9 nenda web ya udom ucheki ka jina lako lipo ila wamechagua watu 92 tu! Cjui wame2mia vigezo gan coz hata me sifa walizozija ninazo lkn cjachaguliwa chuo chochote!
 
mbona yale majina inaonyesha ni watu waliomba diploma ya shule za msingi na si diploma ya sekondari
 
mbona yale majina inaonyesha ni watu waliomba diploma ya shule za msingi na si diploma ya sekondari

ahsante kwa kumjibu hasa wale ni ODPE kozi hii pia ni mpya ila co stashahada ya sekondari ambavyo bado hayajatoka
 
Back
Top Bottom