ismailyy Senior Member Joined Jul 26, 2014 Posts 123 Reaction score 18 Sep 13, 2014 #1 Jamani wanaJF mwenye taarifa naomba anisaidie kama selection za kusomea ualimu katika chuo kikuu DODOMA kama zimeishatoka kwa kidato cha nne.
Jamani wanaJF mwenye taarifa naomba anisaidie kama selection za kusomea ualimu katika chuo kikuu DODOMA kama zimeishatoka kwa kidato cha nne.
M majjita 01 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 232 Reaction score 82 Sep 13, 2014 #2 badoooo. nacte ndio wana jukumu la kutoa hizo post. kuwa mvumilivu na utapata chance
brobiz JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 619 Reaction score 838 Sep 13, 2014 #3 Zishatoka kitambo na deadline ya kuomba ufadhil heslb kwa waliochaguliwa ilikuwa tr10/9 nenda web ya udom ucheki ka jina lako lipo ila wamechagua watu 92 tu! Cjui wame2mia vigezo gan coz hata me sifa walizozija ninazo lkn cjachaguliwa chuo chochote!
Zishatoka kitambo na deadline ya kuomba ufadhil heslb kwa waliochaguliwa ilikuwa tr10/9 nenda web ya udom ucheki ka jina lako lipo ila wamechagua watu 92 tu! Cjui wame2mia vigezo gan coz hata me sifa walizozija ninazo lkn cjachaguliwa chuo chochote!
Tekelo Member Joined May 18, 2014 Posts 32 Reaction score 7 Sep 13, 2014 #4 mbona yale majina inaonyesha ni watu waliomba diploma ya shule za msingi na si diploma ya sekondari
ismailyy Senior Member Joined Jul 26, 2014 Posts 123 Reaction score 18 Sep 13, 2014 Thread starter #5 Tekelo said: mbona yale majina inaonyesha ni watu waliomba diploma ya shule za msingi na si diploma ya sekondari Click to expand... ahsante kwa kumjibu hasa wale ni ODPE kozi hii pia ni mpya ila co stashahada ya sekondari ambavyo bado hayajatoka
Tekelo said: mbona yale majina inaonyesha ni watu waliomba diploma ya shule za msingi na si diploma ya sekondari Click to expand... ahsante kwa kumjibu hasa wale ni ODPE kozi hii pia ni mpya ila co stashahada ya sekondari ambavyo bado hayajatoka