Masomo yote duniani ni art; science is a one branch of art

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
Katika shule mbali mbali na sehemu mbali mbali, kumekuwa na matabaka mawili kati ya wasomi wa art na science, huku wanaochukua masomo ya science wanajiona wao ndio bora kuliko wasomi wengine,

leo, naomba tuumalize utata huu, maana masomo yote ikiwemo na mathematic, physics,biology n.k ni art.

Swala la sanaa ni kitu kipana zaidi kukichambua unaweza ukapitia hapa kwa maelezo zaidi

sanaa ni ufundi na utalaam wa kimawazo ulio katika fikira za binadam, fikira hizo zinaambata na shughuli pamoja na uzalishaji wa binadam.

ukijaribu kufuatilia maswala kama fasihi,ususi,uchoraji,ufinyazi n.k utakubaliana na mimi kwamba masomo yote ni sanaa.

karibu sana.
 
Siku zote wanasayansi wako juu ukubali ukate bila sayansi atufiki
 
Nafikili we ni mwana art ndo maana umeanzisha mada hii
 
Muulize swali kwamba, ni kwanini mfano chuoni unakuta jumla ya wanafunzi 3700, wanafunzi wa masomo ya arts ni 3000 lakini wa sayansi unakuta ni 700 tuu? akupe jibu la kawaida tuu?
 
Wenzio wanalilia art kuitwa sayansi wewe unaenda vice versa ndio maana kuna political science, linguistic science.
 
Katika shule mbali mbali na sehemu mbali mbali, kumekuwa na matabaka mawili kati ya wasomi wa art na science, huku wanaochukua masomo ya science wanajiona wao ndio bora kuliko wasomi wengine,

leo, naomba tuumalize utata huu, maana masomo yote ikiwemo na mathematic, physics,biology n.k ni art.

Swala la sanaa ni kitu kipana zaidi kukichambua unaweza ukapitia hapa kwa maelezo zaidi

sanaa ni ufundi na utalaam wa kimawazo ulio katika fikira za binadam, fikira hizo zinaambata na shughuli pamoja na uzalishaji wa binadam.

ukijaribu kufuatilia maswala kama fasihi,ususi,uchoraji,ufinyazi n.k utakubaliana na mimi kwamba masomo yote ni sanaa.

karibu sana.

Kwa hiyo tukusaidie nn sasa....unataka kufuta science au.... si hangaiki hata kufungua hiyo link dunia nzima inajua kuna science wewe tu ndo hujui
 
.
Muulize swali kwamba, ni kwanini mfano chuoni unakuta jumla ya wanafunzi 3700, wanafunzi wa masomo ya arts ni 3000 lakini wa sayansi unakuta ni 700 tuu? akupe jibu la kawaida tuu?

......... Jibu nikwamba, ni wachache wenye kuweza kuingia deep kwenye maswala yakimazingira. Pia binaadamu ana asili ya uvivu; ila kuna wachache chapakazi
 
Unazani kusoma sayansi ni jambo la kitoto inaitaji kujituma kweli kweli onja uone
 
.

......... Jibu nikwamba, ni wachache wenye kuweza kuingia deep kwenye maswala yakimazingira. Pia binaadamu ana asili ya uvivu; ila kuna wachache chapakazi

hao wavivu idadi yao ni 30,000 wakati wachapakazi ni 300.
Utawatofautisha kwa uwajibikaji, ndio maana majina yameandaliwa ili kuwatofautisha. Wanasayansi na wanasanaa, masomo ya sayansi na masomo ya sanaa!
Asijaribu kutukusanya pamoja, mimi sitaki kushirikiana na mvivu!
 
Mtoa mada baki huko huko....Art...utamu wa Sayansi uzame mwenyewe..upige msuli ndio utaona Art ni science.
Kama Art ni science mwambie HKL aje kuwa Daktari
 
Katika shule mbali mbali na sehemu mbali mbali, kumekuwa na matabaka mawili kati ya wasomi wa art na science, huku wanaochukua masomo ya science wanajiona wao ndio bora kuliko wasomi wengine,

leo, naomba tuumalize utata huu, maana masomo yote ikiwemo na mathematic, physics,biology n.k ni art.

Swala la sanaa ni kitu kipana zaidi kukichambua unaweza ukapitia hapa kwa maelezo zaidi

sanaa ni ufundi na utalaam wa kimawazo ulio katika fikira za binadam, fikira hizo zinaambata na shughuli pamoja na uzalishaji wa binadam.

ukijaribu kufuatilia maswala kama fasihi,ususi,uchoraji,ufinyazi n.k utakubaliana na mimi kwamba masomo yote ni sanaa.

karibu sana.

art is a branch of science and not vice versa.

something blind bind in ur mind make it kind!!!
 
Back
Top Bottom