Masoud Djuma asaini mkataba wa mwaka 1 na timu ya A.S Kigali

Masoud Djuma asaini mkataba wa mwaka 1 na timu ya A.S Kigali

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
2,713
Reaction score
3,559
Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba ya Dar es salaam, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kama Kocha Mkuu wa timu ya A.S Kigali ya Rwanda inayoshiriki Ligi kuu ya nchi hiyo.

 
Mbumbumbu watu wabaya sana yaan walitaka awe kocha msaidizi wa kudumu miaka yote
 
Back
Top Bottom