Msolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2008 Posts 2,713 Reaction score 3,559 Oct 19, 2018 #1 Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba ya Dar es salaam, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kama Kocha Mkuu wa timu ya A.S Kigali ya Rwanda inayoshiriki Ligi kuu ya nchi hiyo.
Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba ya Dar es salaam, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kama Kocha Mkuu wa timu ya A.S Kigali ya Rwanda inayoshiriki Ligi kuu ya nchi hiyo.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Oct 20, 2018 #2 Mbumbumbu watu wabaya sana yaan walitaka awe kocha msaidizi wa kudumu miaka yote