Wewe unatiwa chai kwenye kikombeKwani fani ni lazima uchore uchochezi
Kukosoa serikali ni jambo la kikatiba na huwezi kuiondoa!! Sema nyinyi mngependa watu wamuabudu huyu mtu. Mnasahau hata hesabu ya kura 2015 mlitengeneza kupata percentage. Serikali kukosolewa ni afyaNa kodi isiwe kisingizio cha kuikosoa Serikali kwenye kila jambo.
Subiri waishe zamu yako ije.....Magufuli nyoosha nchi wazalendo tunakusapoti
duh hk kwetu umekatika km mara nne hivi tangu mwaka huu uanzeTangu mwaka 2018 uingie Mpaka muda huu umeme umekatika na kuwaka huku kwetu zaidi ya mara 5.
Walimghwaya au yeye ndio alibadili kauli?Hii sasa hatari lakini bishop aliwaambia watu wa usalama wasiangaike naye yeye ni jabali naona walighwaya
Hakuna atakaye baki salama..Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
View attachment 665630
Hivi kwa akili yako; kama kuna lolote lililomkuta unadhani linahusiana na kazi yake pale Clouds?!Wao clouds kila siku wanatunga nyimbo sijui uzalendo nini.
Acha waone waone 'gharama' za uzalendo kule selo.