omary urassa
Member
- Jun 30, 2015
- 61
- 43
Kumbe ni kweli kakaPoleni kwa usumbufu na asanteni kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa.
'AMESAIDIA.
Walikuteka auPoleni kwa usumbufu na asanteni kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa.
'AMESAIDIA.
Kapata Kick ya Kufungulia Mwaka Mpya!Watu wapo kwenye michepuko yao wanasingizia wametekwa kumbe ni gear yakurudia nyumbani .....it's holiday let people celebrate.
Watu wapo kwenye michepuko yao wanasingizia wametekwa kumbe ni gear yakurudia nyumbani .....it's holiday let people celebrate.