Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Baada ya huu uzi kufungwa nikijuia tu kuna walakini na nikaanzisha uzi ambao mods waliufuta nikasema nitakuwa Tomasso kuwa hakuna kilichomtokea na nikasema nasuburi kusikia kitakachotokea ndani ya masaa 24 au 48 ila hata lisaa halijaisha ukweli umejulikana.
 
U have very low IQ
Mara nyingi katuni zinakuwa na taswira ya kicomedian.
Usipokuwa makini unaweza kucoment kicomedian kumbe sivyo.
Both Low & High IQ may be within the beholder.
I respect kazi za Masoud Kipanya.
Kucoment vile haikuwa kwa nia mbaya.
Sorry for any inconviences made.
 
Wambieni polisi waache upumbavu na ujinga

Jueni kuwa wanaofanya vitendo vya kuudhi wananchi kama utekaji, utesaji kwa kizingizio cha uchochezi ni watu wanaochafua sifa ya Rais wa Tanzania, ni wale waliozoea kula bila kunawa mikono - tenda za ajabuajabu za 40%, wenyekuuza Airtel, waliozoe kifanya mikutano ya bodi Ulaya au Uarabuni, waliozoea kuweka saini mikataba mibovu wakiwa nje ya nchi, sasa wanaona njia zao zimezibwa na zinabanwa na Dr Rais Magufuli. Viongozi wengine ndani ya chama wanajipendekeza ila lengo lao ni kiharibu sifa ya Rais. Watakamatwa tu! Kudos Magufuli.
 
"Aliyetekwa kaachiwa na watekaj"
 
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587

chanzo: Chadema in Blood
Nimeangalia kwa makini sana hii katuni ni kweli ina uchochezi si kwa wananchi bali kwa serikali ebu angalia mshika kombola la kodi huku nyuma kagonoka afu cha ajabu kamuongezea mshale kwa nyuma directly kuelekea sehemu ambayo sio sahihi.
 
Acha unafiki wewe.
 
Acha unafiki wewe.

We ndo mnafiki. Kila aonaye tofauti na wewe ni mnafiki. So wewe ndo nafiki Nambari one asiyefikiria kwa kichwa anatumia Pa kunyeaaaa. Hivi nani kakwambia hesabu za maisha ni 1+1=2. siasa ni uchafu mkubwa so think before kuja kuhara utumbo Hapa. „Alaye nami meza moja ndo aniinuliaye kisigino chake „. Think think think. And the man who stopped thinking is equal to a Corpse. Think think think.
 
Kumbe si uchumi tu mpka fani za watu zinatakiwa kufa.

Hiyo Sio fani. Huo ni uchochezi. Hapo nini kinakufikirisha. Massoud kwa kutaka sifa za kijinga anapotea. Ana kipaji kikubwa lakini watumia bundle za bure mnamforce atumikie Watu badala ya kipaji. Message ya katuni hufikirisha sasa hapo nini kama Sio direct ujinga. So sasa Serikali isifqnye kazi Mfano mtu katangaza ana Hela kuliko Serikali. Vijana you have become toooooo cheap. Ah ngapi mnalipwa
 
Nimeangalia kwa makini sana hii katuni ni kweli ina uchochezi si kwa wananchi bali kwa serikali ebu angalia mshika kombola la kodi huku nyuma kagonoka afu cha ajabu kamuongezea mshale kwa nyuma directly kuelekea sehemu ambayo sio sahihi.
Nilicoment hivyo nikaambiwa nina low IQ.
 
Serikali iache kudeal na vitu vidogo hivi inajiaibisha tu....kama yenyewe inahakika inapiga mzigo kwa ajili ya umma iendelee....
 
Ili laana ya wananchi kwa serikali yao ipungue ama kuisha lazima watu watubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…